Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Pancras Bujulo (wa pili kulia) kuhusu ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Chunya baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo hicho, Novemba 29, 2021. Kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga na kulia ni Mkuu wa Chuo cha VETA cha Mpanda, Joshua Mategane
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wa...
Read More