Rais Samia na Rais Museven Washiriki Kufunga Kongamano la Wafanyabiashara kati ya Tanzania na Uganda
Nov 28, 2021
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda (hawapo pichani) lililohudhuriwa na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 28 Novemba 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza kwenye hafla ya ufungaji wa Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililohudhuriwa na Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni leo tarehe 28 Novemba 2021 katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kufunga Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo tarehe 28 Novemba 2021.
Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kufunga Kongamano la Wafanyabiashara wa Tanzania na Uganda lililofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Dar es salaam leo tarehe 28 Novemba 2021.