Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua kongamano la Kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kwenye ukumbi wa Mbeya Modern Highland Hotel, Jijini Mbeya, Novemba 26, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi walioshiriki katika kongamano la kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kutoka kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Wenye Ulemavu), Ummy Nderiananga, Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dkt. Godwin Mollel na wa pili kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (TACAIDS), Dkt. Leonard Maboko. kwenye ukumbi wa Mbeya Modern Highland Hotel, Jijini Mbeya, Novemba 26, 2021
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na viongozi wengine wakiwa katika picha ya pamoja na wanakikundi cha DREAMS kinachohamasisha mapambano dhidi ya maambukizi mapya ya UKIMWI jijini Mbeya, wakati Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipofungua kongamano la kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kwenye ukumbi wa Mbeya Modern Highland Hotel, Jijini Mbeya, Novemba 26, 2021
Baadhi ya washiriki wa kongamano la kisayansi la Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao alipofungua kongamano la kisayansi la
Kitaifa kuhusu VVU na UKIMWI katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI duniani, kwenye ukumbi wa Mbeya Modern Highland Hotel, Jijini Mbeya, Novemba 26, 2021