Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga (katikati) na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya VETA, Peter Maduki baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Chunya, Novemba 29, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi cha Wilaya ya Chunya, Novemba 29, 2021. Kulia. ni Naibu Waziri wa Elimu , Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga na kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa VETA, Pancras Bujulo.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuweka jiwe la Msingi la Ujenzi wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) Wilaya ya Chunya Novemba 29, 2021.
Muonekano wa Chuo cha Ufundi Stadi (VETA) kilichopo wilayani Chunya