Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene akihutubia wakati wa utoaji wa taarifa ya hali ya UKIMWI Duniani.
Na Mwandishi wetu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene amepongeza Tume ya Kudhibiti UKIMWI, Wizara ya Afya na Wizara ya TAMISEMI katika Mkakati wa kupambana na UKIMWI kama janga la kitaifa.
Hayo yamesemwa na Waziri na Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge na Uratibu, Mhe. George Simbachawene Jijini Dar es saalam, wakati wa uzinduzi w...
Read More