Majaliwa Aongoza Kikao Kuhusu Nishati Safi ya Kupikia
Nov 25, 2022
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongoza kikao cha Wizara Mtambuka kuhusu nishati safi ya kupikia kwenye ukumbi wa Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Novemba 25, 2022. Kulia kwake ni Waziri wa Nishati, January Makamba na kushoto kwake ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene.