Majaliwa Ahutubia Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Bima Afrika
Nov 30, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Mkutano huo kwenye Kituo cha Kimtaifa cha Mkutano cha Arusha (AICC), Novemba 30, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha. (AICC) Novemba 30, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Fedha Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba baada ya kuhutubia Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa Mamlaka za Bima Afrika kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) Novemba 30, 2022.