Na.Jovina Bujulu.
Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora itaadhimisha Siku ya Haki za Binadamu Afrika kwa kufanya kongamano katika makao makuu ya tume hiyo, Jijini Dar es salaam, tarehe 21, mwezi huu.
Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam, Mkurugenzi wa Haki za Binadamu wa tume ,Francis Nzuki alisema kuwa kongamano hilo litawashirikisha wadau mbalimbali wa masuala ya haki za wafanyakazi ambapo watawasilisha na kujadili mada mbalimbali .
“Mada zinazotarajiwa kuwasilishwa na kujadiliwa ni pamoja na ‘Uchumi wa Viwanda na Ha...
Read More