Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Abdallah Ulega akigawa zawadi ya mipira kwa uongozi wa Shule ya Sekondari Dodoma kwa ajili ya shughuli za michezo shuleni hapo, wakati alipofanya ziara ya kukagua shughuli shughuli hizo leo Januari 27, 2021 Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia ni Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mhe. Antony Mavunde, uongozi wa Jiji hilo pamoja na wanafunzi wa shule hiyo.,
Na Shamimu Nyaki – WHUSM, Dodoma
Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Ulega ameagiza viongozi na wasimamizi wa shule...
Read More