Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na baadhi ya wagonjwa waliolazwa katika Kituo cha Afya cha Masumbwe wilayani Mbogwe leo Jjumatano Januari 27, 202
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akizindua majengo mapya na upanuzi wa huduma Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita akiwa na Waziri wa Afya Dkt. Doroth Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo na viongozi wengine leo Jjumatano Januari 27, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri wa Afya Dkt. Doroth Gwajima na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jaffo na viongozi wengine wakati akizindua majengo mapya na upanuzi wa huduma Kituo cha Afya cha Masumbwe Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita leo Jjumatano Januari 27, 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akitoka kutembelea sehemu mbalimbali za Kituo cha Afya cha Masumbwe
wilayani Mbogwe wakati wa sherehe za ufunguzi wa majengo mapya na
Upanuzi wa Huduma katika kituo hicho leo Jjumatano Januari 27, 2021.