Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli
akipanda mti wakati akizundua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la
Silayo wilayani Chato mkoani Geita leo Jumatano Januari 27, 2021.
Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya Serikali
yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania
(TFS)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimwagilia maji mti alioupanda kama kumbukumbu mara baada ya kuzindua shamba la Miti lenye hekari elfu 69 katika eneo la Butengo Chato mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akifurahia zawadi ya mche wa mti aliozawadiwa baada ya kuzindua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la Silayo wilayani Chato mkoani Geita leo Jumatano Januari 27, 2021.Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya Serikali yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea vazi maalumu la wafugaji nyuki toka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro baada ya kuzindua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la Silayo wilayani Chato mkoani Geita leo Jumatano Januari 27, 2021.Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya Serikali yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi wengine wakipiga makofi mara baada ya kuzindua shamba la Miti la Chato lenye jumla ya ekari elfu 69 katika eneo la Butengo Chato mkoani Geita leo tarehe 27 Januari 2021.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akiaga rasmi baada ya kuzindua rasmi Shamba la Miti lililopewa jina la Silayo wilayani Chato mkoani Geita leo Jumatano Januari 27, 2021.Shamba hilo, ambalo ni miongoni mwa mashamba 23 ya Serikali yanayosimamiwa na kuendelezwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS).