Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga akifungua kongamano la kwanza la Nishati Safi ya Kupikia la AfrikaMashariki kwa niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe.
Dkt. Doto Biteko lililohusisha washiriki kutoka Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi huku nchi ya Malawi ikishiriki kwa nia ya kujifunza jinsi nchi za Afrika Mashariki zinavyotekeleza Ajenda ya Nishati Safi ya Kupikia.
Read More