Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu, akizugumza na wananchi wa Kitongoji cha Kilambo, Kata ya Njisi, Wilani Kyela (Hawapo pichani) mara baada ya kutembelea na kukagua shughuli za kiuchumi na maendeleo katika mpaka wa Tanzania na Malawi wa Kasumulu, mkoani Mbeya. Kulia kwake ni Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa na kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kyela,Bw. Elias Mwanjala.
Read More