Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ashiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SEACJF Jijini Arusha
Oct 23, 2023
Rais Samia Ashiriki Mkutano Mkuu wa Mwaka wa SEACJF Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kutoka kwa Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia, Mhe. Peter Shivute wakati wa Mkutano huo uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023.
Na ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinyanyua juu zawadi ya picha ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa hilo ambaye pia ni Jaji Mkuu wa Namibia Mhe. Peter Shivute wakati wa mkutano uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru Jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023. 

 

Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma akizungumza na Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki mwa Afrika (SEACJF) (hawapo katika picha) wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa Jukwaa hilo uliofanyika leo tarehe 23 Oktoba, 2023 katika Ukumbi wa mikutano wa 'Mount' Meru jijini Arusha.

 

 

Viongozi pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika (SEACJF) uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu Wastaafu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Majaji Wakuu wa Nchi za Kusini na Mashariki Mwa Afrika kabla ya Mkutano wa Jukwaa la Majaji hao uliofanyika katika Hoteli ya Mount Meru jijini Arusha tarehe 23 Oktoba, 2023. 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi