Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Awasili Nchini Akitokea Italia
Oct 23, 2023
Waziri Mkuu Awasili Nchini Akitokea Italia
Waziri Mkuu,, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea nchini Italia Oktoba 23, 2023. Mheshimiwa Majaliwa alimuwakilsha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan  katika Mkutano wa Jukwaa la Kimataifa la Chakula Duniani uliofanyika Rome, Italia

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi