Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Richard Ngemela kuhusu mashine ya kusaga nafaka na kuongeza virutubishi kwenye nafaka inayosagwa wakati alipotembelea banda la maonesho la kampuni ya Gain Tanzania kabla ya kuhutubia Mkutano Mkuu wa Tisa wa Lishe kwenye ukumbi wa hoteli ya Mount Meru jijini Arusha, Oktoba 26, 2023. Kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Jenista Mhagama
Read More