Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Mhe. Jenista Mhagama akizungumza na viongozi wa Serikali na waathirika wa maafa katika Kijiji cha Gendabi, Halmashauri ya Hanang mkoani Manyara alipowatembelea na kuona hali inavyoendelea katika eneo hilo.
Read More