Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais.Dkt. Hussein Mwinyi Akabidhi Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2024
Jan 13, 2024
Rais.Dkt. Hussein Mwinyi Akabidhi Kombe la Ubingwa wa Mapinduzi Cup 2024
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi Kombe la Ubingwa wa Michuano ya Mapinduzi Cup 2024 Nahodha wa Timu ya Mlandege, Abdallah Said Ali, baada ya kuifunga Timu ya Simba bao 1-0 , katika mchezo wa fainali uliofanyaka katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 13-1-2024.
Na Ikulu - Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi Cup 2024, Timu ya Mlandege baada ya kuifunga Timu ya Simba kwa 1-0, katika mchezo wa fainali uliofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 13-1-2024

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi