Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Waziri Mkuu Afungua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu
Jan 11, 2024
Waziri Mkuu Afungua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifunua kitambaa kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, Januari 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Nasser Ahmed Mazrui. Uzinduzi wa Hospital hiyo ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Na Ofisi ya Waziri Mkuu

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, Januari 11, 2024. Kushoto ni Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Nasser Ahmed Mazrui. Uzinduzi wa Hospital hiyo ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Zuhura Juma Makame ambaye ni Mhudumu kwenye Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu kuhusu mashine ya kusaidia watu wenye matatizo ya moyo. Wakati wa ufunguzi wa hospital hiyo ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Muonekano wa Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini "B"-Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja, Zanzibar, ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameifungua leo Januari 11, 2024

 

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi