Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Rais Samia Ahudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Jan 12, 2024
Rais Samia Ahudhuria Maadhimisho ya Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika Uwanja wa Amani katika Maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar tarehe 12 Januari, 2024.
Na Ikulu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiwapungia mkono wananchi waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari, 2024.
Baadhi ya Wakuu wa Nchi waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari, 2024.
Wananchi na wageni mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani tarehe 12 Januari, 2024.

 

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi