Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa, amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), na Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), kwa sababu ya uzembe na usimamizi mbovu wa miradi.
Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam, wakati akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya ufunguzi wa maboresho ya Gati namba 0 hadi 7 na uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa Mabasi Yaendayo Haraka Awamu ya Pili (km 20.3) uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa T...
Read More