Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akishiriki Mkutano Maluum wa 18 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) uliofanyika kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakizungumza kwa njia ya mtandao leo tarehe 22 Desemba, 2021
Giza
Mwanga
Chaguo Msingi
Ndogo
Kawaida
Kubwa