Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, akifuatilia maswali ya Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari za magazeti na Televisheni kupitia njia ya zoom wakati wa mkutano wake na Waandishi hao uliofanyika leo 31-1-2022, katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar
Mhariri wa New Habari, Bw. Absalom Kibanda akiuliza swali wakati wa mkutano wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi na Wahariri wa Vyombo vya Habari na Waandishi wa Habari wa magazeti...
Read More