Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Abdallah Ulega akiangalia ng'ombe aliyekufa kwa athari ya ukame kwenye kata ya Makame Wilaya ya Kiteto mkoani Manyara, akiambatana na Mbunge wa Kiteto, Mhe. Edward Lekaita(wa kwanza kutoka kushoto), Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Bw. Mbarak Batenga, (wa pili kutoka kushoto), viongozi wa chama, wafugaji na watendaji kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi. Januari 14,2022
Serikali imekuja na suluhisho katika kukabiliana na changamoto za ukame uliosababisha vifo vingi vya mifugo kwa kutumia Sh. bili...
Read More