Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Watanzania mbalimbali Wanaoishi nchini Brussels Ubelgiji mara baada ya kuwasili wakati akitokea nchini Ufaransa kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi pamoja na kuhudhuria Mikutano mbalimbali ya Kimataifa leo tarehe 14 Februari, 2022.