Rais Mhe. Samia Azungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa Nchini Ufaransa, Akutana na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Azungumza na Rais wa Ufaransa
Feb 14, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Wawakilishi wa Shirikisho la Wafanya Biashara wa nchini Ufaransa (MEDEF) (hawapo pichani) Jijini Paris leo tarehe 14 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa UNESCO, Mhe. Aundrey Axoulay wakati alipotembelea Makao Makuu ya UNESCO Jijini Paris nchini Ufaransa leo tarehe 14 Februari, 2022.