Rais Mhe. Samia Azungumza na Mabalozi wa OACPS Brussels nchini Ubelgiji
Feb 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wa Nchi Wanachama wa Umoja wa nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya Mkutano wa OACPS uliofanyika katika Makao Makuu ya Umoja huo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni katika Makao Makuu ya Umoja wa Nchi za Afrika, Caribbean na Pacific (OACPS) mara baada ya kuhutubia leo tarehe 15 Februari, 2022.