Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya, Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa Baraza la Umoja wa Ulaya Mhe. Charles Michel mara baada ya kuwasili katika Makao Makuu ya Baraza hilo Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 15 Februari, 2022.