Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Ujumbe wa Afrexim Benki
Feb 16, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi maalum ya mlango wa Zanzibar (Zanzibar Door), Makamu wa Rais Mtendaji wa Afrexim Bank, Bw. Amr Kamel, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-2-2022