Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya Wabunge, wakati akitoka kwenye ukumbi Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Bunda Mjini, Robert Maboto Bungeni jijini Dodoma, Aprili 25, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watoto wenye mahitaji maalum, kutoka Shule ya Al Muntazir iliyopo Dar es Salaam, Bun...
Read More