Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Ritta Kabati, bungeni jijini Dodoma, Mei 20, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 20, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Mei 20, 2022.