Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Kuzungumza na Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika.
May 20, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika Mhe. Wamkele Mene (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 20-5-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika, Mhe. Wamkele Mene. (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-5-2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na mgeni wake Katibu Mtendaji wa Sekretarieti ya Eneo Huru la Biashara Barani Afrika, Mhe. Wamkele Mene, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-5-2022.