Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akiongea alipokuwa akiwasilisha makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya fedha ya wizara hiyo kwa mwaka 2022/23 leo Mei 20, 2022, bungeni Jijini Dodoma.
Idara ya Habari - MAELEZO imekusanya jumla ya shilingi 354,190,750 sawa na asilimia 199 katika mwaka wa fedha 2021/2022.
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema hayo leo Mei 20, 2022, bungeni Jijini Dodoma alipokuwa akiwasilisha makadirio ya bajeti ya mapato na matumizi ya fedh...
Read More