Mawaziri EAC Sekta ya Mazingira, Maliasili Wakutana Arusha
May 20, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Mary Masanja akitoa neno wakati wa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Mei 20, 2022.
Waziri wa Mazingira na Maliasili wa Kenya, Mhe. Keriako Tobiko akiongoza Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Mei 20, 2022.
Ujumbe kutoka Tanzania wakishiriki Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Mei 20, 2022.
Mawaziri, Makatibu Wakuu na viongozi mbalimbali wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wa Sekta ya Mazingira na Maliasili uliofanyika katika Ukumbi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki jijini Arusha leo Mei 20, 2022.