Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam kabla hajaondoka nchini Oktoba 23, 2022, kwenda Korea ya Kusini kwa ziara ya kikazi. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Heri James na wa pili kulia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameondoka nchini leo (Jumapili, Oktoba 23, 2022) kwenda Seoul, Jamhuri ya Korea kwa ziara ya kiserikali ya siku tatu...
Read More