Katibu Mkuu Maganga Aongoza Kikao cha Mradi wa EMA
Nov 15, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Bi. Mary Maganga akiongoza Kikao cha Pili cha Kamati ya Usimamizi wa Mradi wa Kuimarisha Uwezo wa Kitaasisi wa Utekelezaji wa Sheria ya Usimamizi wa Mazingira (EMA) katika ukumbi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Mtumba jijini Dodoma leo Novemba 15, 2022.