Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Prof. Jamal Katundu akitoa maelezo ya awali kwa wadau juu ya umuhimu na faida za kupitia Rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii ya Mwaka 2022 wakati wa kikao kazi kilichofanyika jengo la OSHA, leo Disemba 06, 2022, jijini Dodoma
Ofisi ya Waziri Mkuu – Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu imepokea maoni kuhusu Rasimu ya Sera ya Taifa ya Hifadhi ya Jamii kutoka kwa wadau wa sekta ya hifadhi ya jamii wakati wa kikao kazi kilichofanyika katika jengo la OSHA, leo tare...
Read More