Naibu Waziri wa Fedha na Maendeleo ya Uchumi wa China, Liao Min (kushoto) na Waziri wa Nishati, January Makamba, (kulia) wakizungumza kuhusu ushirikiano katika uendelezaji na uwekezaji katika Miradi ya Sekta ya Nishati inayofadhiliwa na China katika kikao kilichofayika jijini Dar es Salaam, Agosti 14, 2023.
Read More