Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Wakala wa Vipimo (WMA), watoa elimu kwa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira.
Jan 24, 2020
Na Msemaji Mkuu

[caption id="attachment_50387" align="aligncenter" width="750"] Waziri wa Viwanda na Biashara mh.Innocent Bashungwa akiongea jambo wakati wa utoaji wa semina iliyotolewa na Wakala wa Vipimo kwa kamati ya kudumu ya bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira[/caption] [caption id="attachment_50390" align="aligncenter" width="750"] Afisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo Dkt.Ludovick Manege akitoa wasilisho mbele ya wabunge kamati ya bunge viwanda, biashara na mazingira pamoja na kuelezea mafanikio ya miaka minne ya serikali ya Awamu ya tano[/caption] [caption id="attachment_50392" align="aligncenter" width="750"] Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge Viwanda, Biashara na Mazingira mheshimiwa Suleman Sadiki mbunge wa Mvomero alieleza jambo kwa vyombo vya habari mara baada ya kupata semina juu ya utendaji kazi na majukumu ya Wakala wa Vipimo.[/caption]

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi