Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Blogu ya Idara ya Habari - MAELEZO

Matukio Katika Picha Hafla ya Kufunga Mafunzo ya JKT Operesheni Uchumi wa Kati 2020
Sep 18, 2020
Na Msemaji Mkuu


Mkuu wa JKT Meja Jenerali Charles Mbuge akihutubia wahitimu wa mafunzo ya Awali ya JKT Operesheni Uchumi wa Kati 2020 (Hawapo pichani) leo Septemba 18, 2020 wakati akifunga mafunzo hayo katika Kikosi cha Makutupora Jijini Dodoma .

Kaimu Mkuu wa Kikosi cha Makutupora JKT Luteni Kanali Festo Mbanga akitoa taarifa ya kozi kwa mkuu wa JKT

Vijana wahitimu wa JKT Operesheni Uchumi wa Kati wakitoa heshima kwa mwendi wa haraka mbele ya Mgeni rasmi(hayupo pichani)


Vijana wapya wa JKT  Operesheni  Uchumi wa kati 2020 wakila kiapo cha utii Mbele ya Mkuu wa JKT Meja Jenerali Charles Mbuge

Mhitimu wa mafunzo ya JKT Operesheni Uchumi wa Kati Nenelwa Mwihambi akimkabidhi Mkuu wa JKT Meja Jenerali Charles Mbunge  risala ya wahitimu.

(Picha zote na JKT)

Mipangilio
Marekebisho ya Mandhari
Marekebisho ya Maandishi