Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Mhe. Juma Homera jijini Mbeya akizungumza wakati wa Mkutano wa Waandishi wa Habari na mkuu wa mkoa huyo, pamoja na Wakurugenzi wa Halmashauri, Mkutano huo unaratibiwa na Idara ya Habari (Maelezo), ukiwa na lengo la kuhabarisha umma juu ya miradi mbalimbali inayotekelezwa na Serikali katika mikoa na Halmashauri zake kupitia programu ya Tumewasikia Tumewafikia.
Read More