Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi akizungumza leo mjini Morogoro, wakati akizindua kikao kazi cha mapitio ya sera hiyo kilichoandaliwa na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) kwa kushirikiana na Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO).
Read More