Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea mfano wa njiwa mweupe kama ishara ya kuhamasisha amani duniani, katika maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani iliyofanyika kitaifa mjini Moshi, Septemba 21, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu na kulia ni Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa Nchini Tanzania, Zlatan Milisic
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu (katikati) na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi katika maadhimisho ya Siku ya...
Read More