Majaliwa Mgeni Rasmi Maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani Kitaifa - Moshi
Sep 21, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu (katikati) na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafi katika maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani mjini Moshi, Septemba 21, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Amani Duniani, Septemba 21, 2022. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Hassan Babu.