Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango leo tarehe 1 Agosti, 2022 akifungua rasmi maonesho ya Nanenane 2022 yanayofanyika katika Uwanja wa John Mwakangale mkoani Mbeya. Kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Dkt. Rashid Chuachua na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe. Kutoka kushoto ni Naibu Waziri wa Ujenzi, Fredy Mwakibete, Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika, Onesmo Buswelu na Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango ameiagiza TAMIS...
Read More