Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Agosti 31, 2022. Kutokea nchini Tunisia alipomwakilisha Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Nane wa TICAD.