Rais Mhe. Samia Awaapisha Wakuu wa Mikoa Pamoja na Makatibu Tawala katika Hafla Iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam
Aug 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Halima Omari Dendego kuwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Albert John Chalamila kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kagera katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuapisha Meja Jenerali Suleiman Mungiya Mzee kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara katika hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Wakuu wa Mikoa, Makatibu Tawala walioapishwa pamoja na Viongozi wa Taasisi mbalimbali za Serikali wakila Kiapo cha Maadili kwa Viongozi katika hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson, Jaji Mkuu, Profesa Ibrahim Hamis Juma, Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa, Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Hussein Kattanga, Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Mikoa mara baada ya tukio la Uapisho, Ikulu Jijini Dar es Salam tarehe 01 Agosti, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwaapisha Wakuu wa Mikoa pamoja na Makatibu Tawala kwenye hafla ya Uapisho iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Agosti, 2022.