Rais Dkt. Mwinyi Akutana na Viongozi wa Mamlaka ya Bima Nchini
Aug 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na ujumbe ulioongozwa na Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania Dk.Baghayo Saqware (wa tano kushoto) wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akipokea kitabu cha muongozo wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania kutoka kwa Kamishna wa Mamlaka ya Bima nchini Tanzania, Dkt. Baghayo Saqware, wakati wa mazungumzo na ujumbe alioongozana nao wakati walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo baada ya Mazungumzo.