Mnadhimu Mkuu wa JWTZ Ajitambulisha kwa Rais Dkt. Mwinyi
Aug 01, 2022
Na
Jacquiline Mrisho
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Mnadhimu Mkuu wa JWTZ (Chief of Stuff), Luteni Generali Salum Haji Othman alipofika kujitambulisha leo akiwa na ujumbe aliofuatana nao Ikulu Jijini Zanzibar.