Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul wakati alipowasili katika Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kuzindua mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Mashirika Umma, Taasisi na Makampuni Binafsi nchini (SHIMMUTA) leo tarehe 20 Novemba, 2022.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Mpango amewataka viongozi wa Taasisi, Mashirika na Makampuni wanachama wa SHIMMUTA kuhakikisha wanatenga fedha kila mwaka na kuwa...
Read More